KISWAHILI NI LUGHA AMBAYO INAKUA KILA KUCHAO.KWA HIVYO HATUNA BUDI KUIASHIKI NA KUIENDELEZA LUGHA HII.WAKEREKETWA WA LUGHA HII WANAALIKWA KUJIUNGA NA KUNDI HILI ILI TUWEZE KUFANIKISHA LENGO HILI PAMOJA,WAMBILECHO WAHENGA KUCHANGA KUCHANGIZANA.
ni sawa daktari kinga na kinga ndipo moto uwakapo
Umenena kaka,Tuendelee kushirikiana ili moto usambae
ni sawa daktari kinga na kinga ndipo moto uwakapo
ReplyDeleteUmenena kaka,Tuendelee kushirikiana ili moto usambae
ReplyDelete