KISWAHILI NI LUGHA AMBAYO INAKUA KILA KUCHAO.KWA HIVYO HATUNA BUDI KUIASHIKI NA KUIENDELEZA LUGHA HII.WAKEREKETWA WA LUGHA HII WANAALIKWA KUJIUNGA NA KUNDI HILI ILI TUWEZE KUFANIKISHA LENGO HILI PAMOJA,WAMBILECHO WAHENGA KUCHANGA KUCHANGIZANA.
Saturday, June 16, 2012
calculator ni kikokotoo/kikotozi kutokana na kitendo cha kukokotoa(kuhesabu).usiseme eti kokoto.